• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rwanda yatafuta soko la bidhaa katika maonyesho ya pili ya CIIE

  (GMT+08:00) 2019-11-06 09:51:02

  Rwanda inataka kutafuta soko la bidhaa zake katika Maonyesho ya pili ya bidhaa za kimataifa ya China CIIE na kutafuta njia ya kupanua soko la bidhaa zake nchini China. Mkuu wa idara ya uwekezaji ya bodi ya maendeleo ya Rwanda Bw. Philip Lucky, amesema Rwanda inataka kuhakikisha wateja wa China wananunua bidhaa za Rwanda na kuunga mkono mipango tofauti ya Rwanda katika kilimo na sekta nyingine.

  Bw. Lucky aliyasema hayo pembezoni mwa maonyesho ya mwaka 2019 ya bidhaa za China na maonyesho ya bidhaa za Chongqing mjini Kigali, Rwanda.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako