• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kocha Arsenal amvua unahodha Xhaka

  (GMT+08:00) 2019-11-06 17:56:47
  Granit Xhaka amevuliwa unahodha wa timu ya Arsenal, na hatakuwepo katika safari kuifuata Vitoria Guimares katika mchezo wa Kombe la Europa utakaochezwa leo usiku. Kocha Unai Emery amempa nafasi hiyo Pierre-Emerick Aubameyang. Xhaka aliibua mzozo na mashabiki katika mchezo wa Ligi Kuu ambao Arsenal ilitoka sare ya bao 2 – 2 dhidi ya Crystal Palace. Emery amemwambia Xhaka kuwa hatakuwa nahodha kutokana na kitendo hicho, jambo linalomweza katika mazingira magumu kuhusu mustakabali wake na Arsenal.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako