• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Chelsea yafanya maajabu Ligi ya Mabingwa Ulaya

  (GMT+08:00) 2019-11-06 17:57:04
  Chelsea imepata matokeo yakushangaza katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, ambapo baada ya kuwa nyuma kwa mabao manne, ilipambana na kurudisha mabao hayo hivyo kulazimisha sare na timu ya Ajax katika mechi iliyochezwa kwenye uwanja wa nyumbani wa timu hiyo, Stanford Bridge. Kocha wa Chelsea Frank Lampard amesema mechi hiyo ilikuwa ya kufurahisha na mashabiki waliondoka uwanjani wakiwa na furaha. Pia amesema, ingawa amefurahishwa na matokeo hayo, timu yake ilifanya makossa mengi yaliyochangia kufungwa mabao manne.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako