• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Simbu: Kama si riadha nisingepata cheo jeshini

  (GMT+08:00) 2019-11-06 17:57:20
  Ushindi wa medali ya fedha katika mashindano ya dunia ya Majeshi yaliyofanyika China umemwezesha mwanariadha Alphonce Simbu kupandishwa cheo na sasa ni koplo wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ). Simbu amesema kama si riadha, asingepata cheo hicho, kwani hakuwahi kufikiri kuingia jeshini, na kipaji chake cha riadha ndio kimempa nafasi hiyo.
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako