• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mafuriko makubwa yaharibu tani elfu 20 za chakula nchini Sudan Kusini

  (GMT+08:00) 2019-11-07 09:13:25

  Mkuu wa Shirika la mpango wa chakula la Umoja wa Mataifa WFP Bibi Mary-Ellen McGroarty, amesema hali dhaifu ya usalama wa chakula nchini Sudan kusini imezidi kuwa mbaya baada ya mafuriko makubwa kuharibu tani elfu 20 za chakula kaskazini mwa nchi hiyo, na kuwaathiri watu karibu laki 9. Amesema WFP inapanga kuchukua hatua za haraka za miezi mitatu ili kutuliza hali hiyo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako