• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Lakers yajitahidi kushinda baada ya kupoteza michezo miwili

  (GMT+08:00) 2019-11-07 17:59:09

  Timu ya mpira wa magongo ya wanawake nchini Kenya Lakers inatafuta ushindi baada ya kufungwa mechi mbili zilizopita dhidi ya USIU na Sliders mwezi uliopia, ushindi uliofuta rekodi ya Lakers ya kutofungwa katika Mashindano ya Ligi ya Mpira wa Magongo kwa Wanawake nchini humo. Kapteni wa timu hiyo Linnah Baraza amesema kupoteza mechi hizo si njia nzuri waliyopanga kumalizia mashindano hayo. Lakers wako nafasi ya tano wakiwa na pointi 15 kutoka mechi 11, na weekend hii watamenyana na JKUAT ambao hawajashinda hata mechi moja na pia timu inayotetea ubingwa wa mashindano hayo, Telkom.
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako