• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mkwasa, wachezaji Yanga watamba kuimaliza Ndanda

  (GMT+08:00) 2019-11-07 17:59:37
  Wakati kikosi cha Yanga kikitua Mtwara kwa ajili ya kuwakabili wenyeji wao Ndanda FC katika mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara itakayochezwa kesho, kocha wa muda wa timu hiyo Charles Boniface Mkwasa amesema jukumu alilopewa la kuiongoza timu hiyo ni zito. Amesema baada ya kupewa jukumu hilo, alipata nafasi ya kuzungumza na wachezaji ili kupanga kwa pamoja mikakati ya kuhakikisha wanafanya vizuri katika mechi za Ligi Kuu msimu huu. Yanga imeamua kuachana na aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Mwinyi Zahera, siku chache baada ya kuondolewa kwenye mashindano ya Kimataifa ya Kombe la Shirikisho Afrika.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako