• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Liverpool yaelekea kufuzu 16-bora baada ya kuifunga Genk

  (GMT+08:00) 2019-11-07 17:59:58
  Ushindi wa goli 2-1 dhidi ya Genk umewaongezea Liverpool matumaini ya kufuzu kwa hatua ya 16 Bora katika michuano ya Klabu Bingwa barani Ulaya. Vijana hao wa kocha Jurgen Klopp, wamepanda hadi nafasi ya kwanza katika jedwali la Kundi E kufuatia bao la ushindi la Alex Oxlade-Chamberlin, likiwa bao lake la nne katika mchi nne. Wakati huohuo, Kocha Frank Lampard amewapongeza vijana wake kwa juhudi zao zilizowafanya kutoka sare ya 4-4 na Ajax Amsterdam baada ya kuwa chini kwa mabao 4-1 katika pambano lao la Ligi ya Klabu Bingwa, matokeo ambayo yamewaongezea matumaini ya kutinga hatua ya 16 Bora.
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako