• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kituo cha Eneo la Ghuba ya Guangdong, Hongkong na Macao cha CMG chazinduliwa rasmi

  (GMT+08:00) 2019-11-07 20:40:22

  Kituo cha Eneo Kubwa la Ghuba ya Guangdong, Hongkong na Macao cha Shirika Kuu la Utangazaji la China CMG na app ya sauti ya Ghuba hiyo vimezinduliwa rasmi leo.

  Akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi huo, Naibu mkuu wa Idara ya uenezi ya Kamati kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China, na mkurugenzi mkuu wa CMG Bw. Shen Haixiong amesema, ujenzi wa kituo hicho umeonesha kuwa huduma ya CMG kwenye sehemu ya Guangdong, Hongkong na Macao imepanda katika ngazi mpya.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako