• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Idadi ya watu wa Zimbabwe inatarajiwa kuongezeka na kufikia milioni 21 kabla ya mwaka 2032

  (GMT+08:00) 2019-11-08 08:41:41

  Idadi ya watu wa Zimbabwe inatarajiwa kuongezeka kutoka watu milioni 13.4 wa mwaka 2012 hadi kufikia watu milioni 21.4 mwaka 2032, mabadiliko ambayo yanaweza kuleta manufaa kwa ongezeko la uchumi na maendeleo.

  Ripoti iliyotolewa na mamlaka ya takwimu ya Zimbabwe kwa uungaji mkono wa Shirika la idadi ya watu la Umoja wa Mataifa UNFP, kuhusu makadirio yaliyoboreshwa kuhusu idadi ya watu, kwa sasa idadi ya watu nchini Zimbabwe inaongezeka kwa asilimia 2.35. Na kutokana na ongezeko hilo, itachukua zaidi ya miaka 29 kwa idadi ya watu wa Zimbabwe kuwa mara mbili ya idadi ya sasa.

  Ongezeko hilo limetajwa kuwa linaweza kuwa na manufaa makubwa kwa ongezeko la uchumi na maendeleo ya nchi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako