• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Man United yairambisha asali chungu Partizan Belgrade kwa kuipa zawadi ya magoli 3-0

    (GMT+08:00) 2019-11-08 08:54:54

    Usiku wa November 7 2019 Man United ilijitupa ugani kucheza mchezo wao wa UEFA Europa League dhidi ya Partizan Belgrade. Mechi hiyo ya mtoano ilichezwa katika uwanja wa Old Trafford na mambo yakawa mazuri kwa Man United. Katika mtanange huo Man United ilifanikiwa kupata ushindi wa magoli 3-0, yaliyofungwa na Mason Greenwood dakika ya 21, Anthony Martial dakika ya 33 na Marcus Rashford dakika ya 49. Ushindi huo umekuja ikiwa Man United imetoka kupoteza mchezo wa Ligi Kuu England dhidi ya Bournemouth November 2. Partizan wanaonekana kutokuwa vizuri kutokana na mechi zao 5 zilizopita za michuano mbalimbali kufungwa tatu na kushinda mbili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako