• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Misri, Ethiopia na Sudan zakubaliana kutatua suala la Bwawa la Nile mwezi January

  (GMT+08:00) 2019-11-08 09:12:35

  Misri, Ethiopia na Sudan zimekubaliana kutatua migongano kati yao kuhusu ujenzi wa Bwawa la GERD katika mto Blue Nile mwezi Januari mwaka kesho. Mawaziri wa mambo ya nje wa nchi hizo wamekutana na waziri wa fedha wa Marekani na mkuu wa Benki ya Dunia jana huko Washington, na kukubaliana kwamba watashirikiana kufikia makubaliano ifikapo tarehe 15 Januari mwaka kesho.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako