• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mafuriko yasababisha vifo vya 25 nchini Somalia

  (GMT+08:00) 2019-11-08 09:12:54

  Shirika la Afya Duniani WHO limesema mafuriko yamesababisha vifo vya watu wasiopungua 25, na wengine 47 kujeruhiwa kutokana na mvua kubwa inayoendelea kunyesha. WHO inasema mvua kubwa imeathiri sehemu nyingi za Somalia na kusababisha watu zaidi laki 2.7 kupoteza nyumba zao na kuvuruga uzalishaji na kuharibu miundombinu nchini humo. Shirika hilo limechukua hatua za dharura ili kuokoa maisha.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako