• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mke na mtoto wa Baghdadi washikiliwa na Uturuki

  (GMT+08:00) 2019-11-08 09:14:14

  Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki jana amesema mke na mtoto wa kiongozi wa kundi la IS Abu Bakr al-Baghdadi wanashikiliwa na Uturiki kwa mwaka mmoja na nusu. Amesema idadi ya jumla ya jamaa wa Baghdadi wanaoshikiliwa na Uturuki ni zaidi 10, lakini kwa sasa Uturuki haitaki kuwatangaza wote. Amesema Uturuki itatoa taarifa baada ya kila kitu kuwa wazi, kwani sasa uchunguzi unaendelea.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako