• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mwakyembe, Kiwale kupanga mikakati

  (GMT+08:00) 2019-11-08 17:56:15
  Bondia wa ngumi za kulipwa nchini Tanzania, Sunday Kiwale anatarajia kukutana na waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe, kwa malengo ya kujadili maandalizi ya safari yake kuelekea nchini Uingereza. Kiwale anatarajia kuondoka Tanzania Novemba 24 kwenda Uingereza kupambana na Tommy Frank katika pambano la kuwania ubingwa wa IBO, raundi 12, litakalofanyika Novemba 29.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako