• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mariga akubali kushindwa Ubunge Kenya

  (GMT+08:00) 2019-11-08 17:56:50
  Mchezaji wa zamani wa club za Inter Milan na Parma za Italia McDonald Mariga ameamua kumpongeza mshindani wake Imran Okoth aliyeshinda uchaguzi wa ubunge wa jimbo la Kibra kupitia chama cha ODM. Nafasi hiyo iliachwa wazi baada ya aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo kufariki. McDonald Mariga alikuwa anagombea Ubunge wa jimbo la Kibra November 7 2019 kupitia chama cha Jubilee na Imran Okoth alikuwa anagombea nafasi hiyo kupitia chama cha ODM na kufanikiwa kuibuka mshindi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako