• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Ashraf, Zungu kuzichapa Dar es Salaam jumapili

  (GMT+08:00) 2019-11-08 17:57:08
  Mabondia wa Zanzibar, Ashraf Suleiman na Amour Zungu watapanda ulingoni kwenye ukumbi wa CCM Mwinjuma, katika pambano la kuhamasisha ngumi wilayani Kinondoni jijini Dar es Salaam. Promota wa pambano hilo Ibrahim Kamwe amesema, lengo la pambano hilo ni lurejesha morali ya ndondi Kinondoni. Ikumbukwe kuwa, Kinondoni ndiko wametokea maondia Omari na Saidi Yazidu, Dullah Mbabe na Francis Miyeyusho ambao waliwahi kutamba sana kwenye ndondi nchini Tanzania.
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako