• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China kushikilia maendeleo ya amani na ushirikiano wa kunufaishana kwenye sekta ya diplomasia

  (GMT+08:00) 2019-11-08 19:01:08

  Leo ni miaka 70 tangu kuanzishwa kwa Wizara ya mambo ya nje ya China.

  Msemaji wa wizara hiyo Bw. Geng Shuang amesema, katika kipindi kipya cha kihistoria, China itashikilia kanuni ya amani, maendeleo, ushirikiano na kunufaishana kwa kufuata fikra ya Xi Jinping juu ya mambo ya diplomasia. China pia itatoa mchango mpya katika kutimiza ndoto ya kustawisha tena taifa la China na kuhimiza kujenga jumuiya ya binadamu yenye mustakabali wa pamoja.

  Tarehe 8 mwezi Novemba mwaka 1949, mkutano wa kuanzishwa kwa Wizara ya mambo ya nje ya China ulifanyika mjini Beijing, na waziri mkuu wa China wa wakati huo Bw. Zhou Enlai ambaye pia alikuwa ni waziri wa mambo ya nje wa China alihudhuria mkutano huo na kutoa hotuba muhimu.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako