• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • ndege ya Jambojet imeingia soko la Rwanda

  (GMT+08:00) 2019-11-08 19:22:52

  Shirika la ndege la nauli ya chini, Jambojet, limepanga kuanza safari zake kuelekea Rwanda baadaye mwezi huu na mipango ya kuendesha ndege za kila siku kutoka Nairobi.

  Ndege imeanza kuuza tikiti za ndege za kuja Nairobi kutoka Kigali.

  Ndege hiyo ni kampuni ndogo ya Kenya Airways ambayo inataka kuongeza safari kati ya Nairobi na Kigali.

  Safari ya Saa moja Nairobi - Kigali itaaza rasmi Novemba 25.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako