• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Polisi wa Afrika Kusini wawakamata wahamiaji haramu 300

    (GMT+08:00) 2019-11-10 16:39:44

    Polisi wa Afrika Kusini wamewakamata wahamiaji haramu 300 mjini Johannesburg. Polisi wamesema kikosi mseto kiliwakamata wahamiaji hao kwenye jengo lenye ghorofa 21 lililovamiwa katika eneo la Hillbrow, mjini Johannesburg.

    Hillbrow ni eneo la mji wa Johannesburg linalojulikana zaidi kwa msogamano wa wtu, ukosefu wa ajira, umaskini, ukahaba na uhalifu. Msemaji wa Polisi Brigedia Mathapelo Peters amesema kati ya watu 380 waliokamatwa 353 wakiwa ni wanaume na 27 wakiwa ni wanawake, ni raia wa Malawi na Zimbabwe ambao sasa wanachunguza kuhusu ukazi wao.

    Watu hao wamekamatwa wakati polisi wanafanya msako wa watu kuzuia uhalifu na kuweka ulinzi kwa ajili ya kipindi cha sikukuu zijazo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako