• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Filamu inayoonesha mabadiliko yaliyotokea nchini China kwa lugha ya Kigiriki yatolewa nchini Ugiriki

  (GMT+08:00) 2019-11-10 17:07:01

  Wakati rais Xi Jinping wa China atakapofanya ziara rasmi nchini Ugiriki, filamu ya kuonesha hali halisi ya mabadiliko yaliyotokea nchini China katika miongo 7 iliyopita, imeanza kuoneshwa leo kwa watazamaji nchini Ugiriki.

  Filamu hiyo inaeleza mafanikio na uzoefu wa Wachina katika shughuli za mapinduzi, ujenzi, na mageuzi, na juhudi kubwa zilizofanywa na mamilioni ya Wachina kwa ajili ya ustawishaji wa taifa.

  Filamu hiyo iliyotengenezwa na Shirika Kuu la Utangazaji la China imetafsiriwa kwa lugha 18 zikiwemo Kiingereza, Kijapan, Kikorea, Kihispania na Kiitalia.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako