• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Umoja wa Mataifa na Tanzania washirikiana kupambana na dhuluma ya kijinsia

  (GMT+08:00) 2019-11-11 08:57:18

  Ofisa mwandamizi wa Shirika la wanawake la Umoja wa Mataifa lililoshughulikia usawa wa kijinsia na uwezeshaji wa wanawake, linashirikiana na serikali ya Tanzania kupambana na dhuluma ya kijinsia.

  Naibu waziri wa afya, maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto wa Tanzania Bw. Faustine Ndugulile, amesema tangu ushirikiano kati ya pande hizo mbili uanze kutekelezwa, kesi za dhuluma ya kijinsia zimepungua kwa kiwango kikubwa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako