• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Kiungo Azam atamba sasa wanaanza kazi

  (GMT+08:00) 2019-11-11 17:58:58
  Kiungo wa Azam FC, Frank Domayo, amesema wanaamini wataendeleza ushindani katika mechi zao za Ligi Kuu Tanzania Bara na kupata matokeo mazuri yatakayowaweka katika nafasi nzuri kwenye msimamo wa Ligi. Azam katika mchezo wao wa mwisho walipata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Biashara United, kwenye Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam. Akizungumza baada ya kumalizika kwa mchezo huo, Domayo alisema kwa sasa wanaelewana vizuri hali inayowafanya wazidi kuongeza morali ya kupambana na kupata matokeo.
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako