• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Wachezaji Stars wasaka ufundi

  (GMT+08:00) 2019-11-11 17:59:16
  Kikosu cha Timu ya Taifa nchini Tanzania TAifa Stars kimeanza mazoezi rasmi jana kwa ajili ya kiwka tayari kuelekea mchezo wao wa kuwania tiketi ya kushiriki fainali zijazo za Kombe la Mataifa Afrika (AFCON2021) dhidi ya Equatorial Guinea utakaochezwa ijumaa wiki hii kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Kocha msaidizi wa timu hiyo Juma Mgunda amesema, wachezaji wote wanaocheza ligi kuu Tanzania Bara wameripoti kambini na kuanza program maalum kuelekea mchezo huo ambao wanatarajia watafanya vema.
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako