• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Nzige wa jangwani waathiri zaidi ya hekta 21,452 za ardhi nchini Ethiopia

  (GMT+08:00) 2019-11-12 09:33:37

  Shirika la mpango wa Chakula la Umoja wa Mataifa WFP limeripoti kuwa, nzige wa jangwani wameathiri zaidi ya hekta 21,452 ya malisho na mashamba katika wilaya 12 za jimbo la Afar, kaskazini mashariki mwa Ethiopia. Shirika hilo pia limefafanua kuwa zaidi ya tani 4,700 za chakula cha misaada zimesambazwa kwa watu 439,687.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako