• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Winga KMC mbioni kumfuata Msuva Morocco

  (GMT+08:00) 2019-11-12 18:47:21
  Winga wa KMC ya Tanzania, James Msuva yupo mbioni kutimkia kucheza soka la kulipwa nchini Morocco. James, ambaye ni mdogo wa mshambuliaji Simon Msuva, aliondoka nchini Tanzania hivi karibuni kwenda kufanyiwa matibabu nchini Morocco na pia inaaminika kuwa, alikwenda kuangalia uwezekano wa kujiunga na klabu ya Diffa el Jadida anayoichezea kaka yake.
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako