• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Gor Mahia yaanza kunusa taji la ligi

  (GMT+08:00) 2019-11-12 18:47:40
  Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Kenya Gor Mahia wako katika orodha ya klabu nane zilizopiga hatua kubwa kwenye jedwali la ligi kuu baada ya mechi za raundi ya tisa zilizochezwa Jumapili. Gor ya kocha Steven Polack, ambayo ilikuwa imepata pigo katikati ya juma lililopita iliponyukwa 1-0 na washindi wa mwaka 2008 Mathare United, sasa inaongoza ligi hiyo ya klabu 18 kwa alama 18 kutokana na mechi saba.
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako