• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • MIELEKA: Mwanamieleka Matt Travis afariki dunia kwenye ajali ya barabarani

  (GMT+08:00) 2019-11-13 08:13:36

  Nyanja ya mieleka imepata pigo kubwa kufuatia kifo cha ghafla cha mwanamieleka chipukizi Matt Travis. Nyota huyo anaaminika kufariki siku ya Jumamosi, Novemba 9 katika ajali ya barabarani. Mkufunzi wake, Amazing Red, alithibitisha kifo hicho kupitia mtandao wa Twitter, huku akidokezea kuwa tukio hilo limemwathiri pakubwa. Mzawaliwa huyo wa New York aliwahi kushiriki michezo za House of Glory, CZW na Gamechanger Wrestling. Kwa upande wao kikosi cha All Elite Wrestling, Santana na Ortiz, watamuomboleza Travis kupitia pambano lao la Jumamosi. Ripoti kutoka New York zinadai kuwa Travis aligongwa na dereva wa lori alipokuwa akiendesha baiskeli.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako