• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Afrika Kusini yajiandaa kuanzisha mfumo wa e-visa kuwavutia watalii zaidi

  (GMT+08:00) 2019-11-13 09:21:15

  Idara ya mambo ya ndani ya Afrika Kusini DHA imesema, Afrika Kusini itaanzisha mfumo wa e-visa kwenye mtandao wa Internet mwezi huu ili kuwavutia watalii zaidi. Idara hiyo imesema mfumo huo mpya wa kielektroniki utawarahisishia watalii kuingia nchini humo kutokana na huduma za kutoa ombi la visa kwenye mtandao na habari za kibiometrika. Majaribio ya mfumo huo yatafanyika na Kenya kwanza kwenye viwanja vya ndege za Oliver Tambo na Lanseria huko Johannesburg.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako