• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais wa Iraq apinga uingiliaji wa nje kwenye mambo ya ndani ya Iraq

  (GMT+08:00) 2019-11-13 09:22:46

  Rais Barham Salih wa Iraq amesema Iraq inapinga nguvu yoyote ya nje kuingilia mambo yake ya ndani, akisisitiza kuwa mchakato wa mageuzi ya kisiasa nchini humo utaamuliwa na Iraq yenyewe. Taarifa iliyotolewa na ikulu ya Iraq, inasema rais Salih ametangaza kuwa atafanya mageuzi kwa kufuata matakwa ya wairaq, na wairaq ndio watakaofanya maamuzi ya kitaifa chini ya mfumo wa katiba na sheria kwa mujibu wa maslahi ya nchi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako