• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Zanzibar Queens yafungwa 7 – 0

  (GMT+08:00) 2019-11-13 18:18:38
  Timu ya taifa ya Zanzibar ya wanawake (Zanzibar Queens) imepokea kichapo cha mabao 7-0 dhidi ya Jang'ombe Boys B. Mchezo huo wa kirafiki ulichezwa leo asubuhi katika uwanja wa Amaan. Zanzibar Queens inajiandaa na Mashindano ya Cecafa ya Wanawake yanayotarajiwa kuanza Novemba 16, 2019 jijini Dar es salam. Katika Mashindano hayo Zanzibar ipo kundi A pamoja na ndugu zao Tanzania bara, Burundi na Sudan Kusini.
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako