• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Bibi Peng Liyuan ahudhuria shughuli za wake wa viongozi wa nchi za BRICS

  (GMT+08:00) 2019-11-14 09:07:54

  Kutokana na mwaliko wa mke wa rais wa Brazil Bibi Michelle Bolsonaro, mke wa rais Xi Jinping wa China Bibi Peng Liyuan jana mchana alihudhuria shughuli za wake wa viongozi wa nchi za BRICS.

  Bibi Peng Liyuan na mke wa rais wa Afrika Kusini Bibi Tshepo Motsepe-Ramaphosa walioambatana na Bibi Michelle wametembelea ikulu ya Brazil, kufanya mazungumzo na kupiga picha kwa pamoja, pia wameangalia kwa pamoja maonesho ya bendi ya simfoni ya vijana ya Brazil. Bibi Peng amezitaka China na Brazil ziendelee kupanua mawasiliano ya kiutamaduni, na kuhimiza urafiki kati ya nchi hizo mbili.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako