• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Zimbabwe :Zimbabwe yaanza kutumia noti na sarafu mpya

  (GMT+08:00) 2019-11-14 19:23:32

  Zimbabwe imeanza kutumia noti na sarafu mpya huku benki kuu ikijaribu kukabili upungufu wa fedha kwenye mzunguko wa uchumi.

  Zimbabwe imekuwa ikitumia dola ya marekani kwa miaka kumi baada ya kukumbwa na mfumko mkubwa wa bei ambao uliathiri vibaya fedha zake.

  Lakini sasa serikali imeanza pole pole kusambaza dola ya Zimbabwe ambayo ni sawa ya senti 6 za Marekani.

  Hata hivyo wananchi wanaruhusiwa kutoa kwa benki hadi dola 300 tu kwa wiki ambazo ni sawa na dola 18 za Marekani.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako