• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Maroketi mengi zaidi yarushwa Israel kutoka Gaza

  (GMT+08:00) 2019-11-15 09:11:35

  Habari kutoka Palestina zinasema maroketi yamerushwa jana usiku kutoka Ukanda wa Gaza kwenda Israel. Milipuko kadhaa imeripotiwa baada ya Israel kuzuia maroketi kabla ya kutua. Bado hakuna kundi lolote linalotangaza kuwajibika na tukio hilo, wakati makubaliano ya kusimamisha vita yalisainiwa kati ya kundi la kiislamu la Palestina Jihad na Israel Jana asubuhi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako