• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Jeshi la Syria laweka vituo vipya vya ukaguzi mpakani

  (GMT+08:00) 2019-11-15 09:12:06

  Shirika la habari la Syria SANA limeripoti kuwa, Jeshi la Syria limeweka vituo sita vya ukaguzi kwenye mpaka na Uturuki, kaskazini mashariki mwa Syria. Shirika hilo limeongeza kuwa, jeshi la Syria limeweka vituo vya ukaguzi kwenye eneo la mpaka wenye urefu wa kilomita 200 kati ya Syria na Uturuki tangu lianze kudhibiti sehemu za kaskazini tarehe 13 Oktoba. Hatua hii ni sehemu ya makubaliano yaliyopatanishwa na Russia mwezi uliopita na vikosi vya kikurdi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako