• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Shirika Kuu la Utangazaji la China CMG lasaini makubaliano na Shirika la Utangazaji la Brazil EBC

  (GMT+08:00) 2019-11-15 09:21:02

  Shirika Kuu la Utangazaji la China CMG na Shirika la Utangazaji la Brazil EBC EBC zimesaini makubaliano ya ushirikiano. Kutokana na makubaliano hayo, pande mbili zitafanya ushirikiano wa pande zote katika kubadilishana maudhui, kutengeneza na kusambaza vipindi kwa pamoja, maingiliano ya watu, na teknolojia za radio, televisheni na vyombo vipya vya habari vya 5G.

  Naibu mkuu wa idara ya uenezi ya kamati kuu ya chama cha kikomunisti cha China ambaye pia ni mkurugenzi mkuu wa CMG Bw. Shen Haixiong na mkurugenzi mkuu wa shirika la EBC Bw. Luiz Gomes wamehudhuria hafla ya kusaini makubaliano hayo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako