• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Makubaliano yaliyofikiwa na nchi za BRICS yatia nguvu mpya kwa jumuiya ya kimataifa

    (GMT+08:00) 2019-11-15 18:53:04

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Geng Shuang amesema, mkutano wa viongozi wa nchi za BRICS umetimiza malengo yaliyopangwa.

    Bw. Geng amesema, makubaliano yaliyofikiwa kwenye mkutano huo yameonesha ishara za kujenga mfumo wa pande nyingi, kupambana na vitendo vya kujilinda kibiashara, kupinga uingiliaji wa nje na kuimarisha mshikamano na ushirikiano kati ya nchi hizo tano, na pia yametia nguvu chanya kwa jumuiya ya kimataifa yenye wasiwasi mkubwa, na kutoa injini mpya katika kuendelea kuimarisha na kutekeleza ushirikiano kati yao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako