• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Wawakilishi wa China na Marekani kwenye mazungumzo ya kibiashara ya ngazi ya juu wazungumza kwa simu

  (GMT+08:00) 2019-11-17 16:36:14

  Naibu waziri mkuu wa China Bw Liu He ambaye ni kiongozi wa ujumbe wa China kwenye mazungumzo ya kiuchumi kati ya China na Marekani, jana alifanya mazungumzo kwa njia ya simu na mjumbe wa mambo ya kibiashara wa Marekani Bw Robert Lighthizer, na waziri wa fedha wa Marekani Bw Steven Mnuchin.

  Kwenye mazungumzo yao, walijadiliana masuala makuu yanayofuatiliwa na nchi hizo mbili kwenye makubaliano ya kipindi cha kwanza, na kuahidi kuendelea kudumisha mawasiliano kwa karibu.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako