• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China imerusha satellite mbili za mambo ya habari kwenye njia yake angani

    (GMT+08:00) 2019-11-18 08:55:04

    China imerusha satellite mbili za mambo ya habari na kuingia kwenye njia yake kwa mafanikio. Satellite hizo mbili kwa ajili ya mawasiliano duniani, zikiwa ni za miradi ya ushirikiano wa kibiashara wa kimataifa.

    Satellite hizo zitatumiwa kwa majaribio ya teknolojia za mawasiliano na mtumiaji wake ni kampuni ya Ujerumani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako