• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mapigano kati ya pande mbili zinazopambana Yemen yatokea Hodeidah

  (GMT+08:00) 2019-11-18 09:54:03

  Mapigano yalitokea jana kati ya vikosi vya serikali na kundi la waasi wa Houthi huko Hodeidah, mji wa bandari nchini Yemen.

  Habari kutoka vikosi vya serikali zinasema kundi la waasi la Houthi lilifanya mashambulizi mengi dhidi ya vikosi vya pamoja vilivyoko mkoani Tuhyata, kusini mwa Hodeidah kwa kutumia silaha nzito na za ukubwa wa kati.

  Vikosi vya serikali vilipambana vikali na kundi la waasi wa Houthi, na kusababisha majeruhi miongoni mwa washambuliaji wa kundi hilo, na kuwafanya wapoteze vifaa vyao vya kijeshi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako