• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Magaidi 32 wauawa katika mapambano makali nchini Burkina Faso

  (GMT+08:00) 2019-11-18 09:57:16

  Jeshi la Burkina Faso limesema magaidi 32 wameuawa kwenye mapambano makali yaliyotokea Ijumaa iliyopita katika sehemu ya kaskazini ya kati na kaskazini nchini humo. Licha ya hayo, jeshi la serikali pia lilikamata silaha na zana nyingi za kijeshi, na kuwakomboa wanawake kadhaa waliotekwa na magaidi kama watumwa wa ngono. Tangu mwaka 2015, mashambulizi ya kigaidi yamesababisha vifo vya watu zaidi ya 500, na maelfu ya wengine kupoteza makazi yao nchini Burkina Faso.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako