• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Waasi wa Houthi, Yemen wakamata meli ya Saudi Arabia

  (GMT+08:00) 2019-11-19 09:34:10

  Waasi wa Houthi wa Yemen wamesema wamekamata meli moja ya Saudi Arabia na nyingine mbili katika bahari ya Yemen, maili tatu kutoka Kisiwa cha Uqban kwenye Bahari Nyekundu. Televisheni ya al-Masirah ya Houthi imeripoti kuwa meli hizo zimehamishwa kwenye bandari ya Salif kwa ajili ya kuchukuliwa hatua za kisheria.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako