• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wizara ya Biashara ya China yasema hakuna wimbi kubwa la kuondoka kwa makampuni ya kigeni nchini China

    (GMT+08:00) 2019-11-19 09:35:02

    Wizara ya Biashara ya China imesema China haijashuhudia wimbi kubwa la kuondoka kwa makampuni ya kigeni nchini humo, licha ya baadhi ya makampuni yanayotegemea zaidi uuzaji bidhaa nje na hayana nyongeza kubwa ya thamani kuhamisha viwanda katika sehemu nyingine. Wizara hiyo imesema hatua ya makampuni hayo inatokana na mahitaji ya soko na inapaswa kuchukuliwa kama kitendo cha kawaida. Imeongeza kuwa makampuni mengi ya kigeni yana hamu kubwa ya kuwekeza nchini China na bado yanachukulia China kama ni soko muhimu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako