• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Serikali kuu ya China yafuatilia uamuzi wa mahakama ya juu ya Hong Kong kuhusu sheria ya hali ya dharura

    (GMT+08:00) 2019-11-19 09:39:40

    Kamati ya mambo ya sheria ya baraza la kudumu la bunge la umma la China leo imeeleza kufuatilia uamuzi wa mahakama ya juu ya Hong Kong kuhusu Sheria ya Hali ya Dharura. Wakati huo huo ofisi ya mambo ya Hong Kong na Macao ya baraza la serikali la China pia imefuatilia uamuzi huo. Mahakama ya juu ya mkoa wa utawala maalumu wa Hongkong, China jana ilifanya maamuzi kuhusu baadhi ya vifungu vya Sheria ya Hali ya Dharura kuwa haviendani na sheria ya kimsingi ya mkoa huo, hivyo havina nguvu ya kisheria.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako