• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Messi, Cavani wataka kuzichapa uwanjani

  (GMT+08:00) 2019-11-19 17:16:01
  Lionel Messi na Edinson Cavani nusura wazichape uwanjani baada ya kutoke mvutano baina yao katika mechi kati ya Argentina na Uruguay ambazo zilitoka sare ya mabao 2 – 2. Messi na Cavani walitoleana maneno makali katika mchezo huo wa kirafiki, Messi akimwambia Cavani kuwa yuko tayari kupigana naye baada ya Cavani kumtishia kuwa atampiga. Washambuliaji hao nguli waliotenganishwa na beki wa Uruguay Diego Godin wakati kila mmoja akijiandaa kumvaa mwenzake.
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako