• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Huawei kuwalipa maradufu wafanyakazi wake kote duniani

  (GMT+08:00) 2019-11-19 19:33:01

  Kampuni ya huduma za mawasiliano ya Huawei imetenga dola milioni 285 za kulipa mara dufu misharahara wafanyakazi wake wote kwa mwezi wa Novemba.

  Mkuu wa mawasiliano kwenye kampuni hiyo nchini Kenya, Dalmar Abdi amesema fedha hizo ni ishara ya kuwapongeza wafanyakazi wake wote kwa kufany akazi kwa bidii.

  Dalmar amesema licha ya kipindi kigumu, Huawei mwaka huu imekuwa na matokeo mazuri ya kifedha.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako