• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China yasema maendeleo endelevu ni mkakati wa kutatua mgogoro

  (GMT+08:00) 2019-11-20 09:03:55

  Mwakilishi wa kudumu wa China kwenye Umoja wa Mataifa balozi Zhang Jun amesema maendeleo endelevu ni mkakati wa kimsingi wa kutimiza maelewano na kusisitiza kushughulikia vyanzo vikuu vya mgogoro kupitia maendeleo. Balozi Zhang amesisitiza umuhimu wa kuangalia kwa pamoja maendeleo na amani, kuhimiza amani kwa maendeleo na kupata maendeleo kwa amani, kushughulikia migogoro na vyanzo vyake kwa pamoja, na kuweka msingi imara kwa ajili ya maelewano na amani ya kudumu kwa kuongeza uwezo wa kujiendeleza.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako