• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Kaduguda apewa mikoba ya Mkwabi, Try Again arudi Simba SC

    (GMT+08:00) 2019-11-20 18:17:03
    Bodi ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba imemteua Mwina Kaduguda kuwa kaimu mwenyekiti wa klabu hiyo. Kaduguda anakaimu nafasi hiyo baada ya mwenyekiti aliyechaguliwa na wanachama Swedy Mkwabi kujiuzulu nafasi yake hivi karibuni, kwa madai ya kutoelewana na baadhi ya viongozi wa Bodi ya akurugenzi wa Klabu hiyo. Bodi hiyo pia imemteua Salim Abdallah 'Try Again' kuwa makamu mwenyekiti wa bodi hiyo.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako