• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Balozi wa Marekani katika Umoja wa Ulaya atoa ushahidi kuhusu lawama dhidi ya rais wa nchi hiyo

    (GMT+08:00) 2019-11-21 09:47:43

    Balozi wa Marekani katika Umoja wa Ulaya Bw. Gordon Sondland jana alithibitisha kwa baraza la wawakilishi la bunge la nchi hiyo kuwa, Rais Donald Trump aliahidi mkutano wa ikulu na Rais mpya wa Ukraine kwa sharti kwamba atafanya uchunguzi dhidi ya mpinzani wa Rais Trump kutoka Chama cha Democrat. Jana ilikuwa siku ya nne kwa kamati ya upelelezi ya baraza la wawakilishi la bunge la Marekani kusikiliza kesi ya Rais Trump ambaye anatuhumiwa kumshikiniza Rais wa Ukraine kumchunguza mpinzani wake wa kisiasa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako