• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kikosi cha kulinda amani cha China chasaidia kufunga kambi kuu ya UNAMID huko Nyala

    (GMT+08:00) 2019-11-21 20:28:06

    Kundi la tatu la helikopta la China huko Darfur, Sudan limewasaidia polisi 32 wa kulinda amani kutoka Bangladesh kuondoka katika kambi kuu ya Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika mkoani Darfur (UNAMID) huko Nyala baada ya kikosi hicho kumaliza operesheni ya kulinda amani iliyodumu kwa miaka 12.

    Nyala, ambao ni mji mkuu wa jimbo la Darfur Kusini, ilikuwa sehemu muhimu iliyopiganiwa na serikali ya Sudan na makundi ya upinzani. Tangu mwaka 2007, UNAMID ilianza kupeleka jeshi la kulinda amani huko Nyala, ili kuhimiza mchakato wa amani wa kanda hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako